Futanaomba nicheck whatsapp chap halafu tufute.
Haya, asante.Futa
Unazipenda?Mbaya...??🙄 Bila hizo hamna kitu.
Keto?
😄😄😄 gym zipo banaKMC Kitambi Manufacturing Company[emoji23]
Sijui hii wkend niende nyumba gani nikale ugali 😂Tumoghele
Mimi nisipokula ugali sijui hata najisikiajeSijui hii wkend niende nyumba gani nikale ugali 😂
Serious? Sijaula ugali tena tokea nimeula mara ya mwisho Dar’ decMimi nisipokula ugali sijui hata najisikiaje
Yesu wangu😳Serious? Sijaula ugali tena tokea nimeula mara ya mwisho Dar’ dec
Nilinunua jiko zuri la plate 4
Hahaaaa si umeona picha zilizopita? Ni chips, wali, machalari, ndizi mzuzu, keki za slace, ndizi bukoba,pilau, nikitoka out.Yesu wangu😳
Unaishije sasa?
Hahaaaa si umeona picha zilizopita? Ni chips, wali, machalari, ndizi mzuzu, keki za slace, ndizi bukoba,pilau, nikitoka out.
Mf jana usiku nmekula slace ya velvet na coffee nikalala.
Velvet ilibaki kidogo, subiri nikirudi nikudorishie
Halafu tunasubiri mrejesho wa cake ulisema utaoka kwa jiko lakoNilinunua jiko zuri la plate 4
Huko chini kwake hata sku 1 sijawahi kupatest 🤣
Nakufaje njaa jamanUtakuja kufa njaa😂😂😂
Mi bila ugali sitoboi.
Velvet utamu kunoga🔥