Yesuu
Ule wa elfu 4 ni mtamu sanaππ huu unanoga na chai ya maziwa mixer jam na bluebandYesuu
Siupendi huo mkate π€£π€£
Naonaga unakaba koo.
Kuna bakery flani wana mkate wanauwekea na zabibu, ndio nautumia. Pia natumia butter toast basiii
ππYesuu
Siupendi huo mkate π€£π€£
Naonaga unakaba koo.
Kuna bakery flani wana mkate wanauwekea na zabibu, ndio nautumia. Pia natumia butter toast basiii