MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Shukrani, Ila Kesho lazima nipike wa kwangu, nitaamkia ferry/kivukoni, hii nazi haiwezi kupotea bure plus appetite naona ni ya samaki na wali tuPole Masta. Njoo tupike hawaView attachment 2927315
Wanawake wanaokula Kichwa cha Samaki ni wakuogopwa sana.Pole Masta. Njoo tupike hawaView attachment 2927315
mmenikumbusha mbali sana supa toast, sunkist Ile ya mfuko wa purple, sakina bread....Yesuu
Siupendi huo mkate 🤣🤣
Naonaga unakaba koo.
Kuna bakery flani wana mkate wanauwekea na zabibu, ndio nautumia. Pia natumia butter toast basiii
😂😂 wacha weeemmenikumbusha mbali sana supa toast, sunkist Ile ya mfuko wa purple, sakina bread....
akida mkate wa kule moshi nilikua nakula kwa bibi
mikate imenilea hiyo
Hako ka- pan ni katamu!!🤩Pole Masta. Njoo tupike hawaView attachment 2927315
Nilikua nataka wawe wamekaangwa tayari.Poleee! Ila ungeenda buchani fasta, unasafishiwa kabisa, ukifika home ni kuwasuuza tu na kupika.
Nilikua nataka wawe wamekaangwa tayari.
Inabidi nitoke Jf sasa, haya mapishi yananifanya nione kama usiku utakuwa mrefu sasa
Haha kunywa chai bana ulale tuInabidi nitoke Jf sasa, haya mapishi yananifanya nione kama usiku utakuwa mrefu sasa