Dah una kula vizuri Sana, nope kazi basi jombi.
😁🤣😁Dah una kula vizuri Sana, nope kazi basi jombi.
Mimi Jobless pro max 🤒
Kaka nope issue basi🤒
NImelipiza hii, bahati mbaya sina picha
Usi muite Dr Lizzy, siku hizi hapendi wageni😆😃.Chinga Intelligent businessman na dada yangu Depal naombeni jam na buluu bendi Cc: Dr Lizzy View attachment 2929964View attachment 2929963
Mi Yangu sembe na maharage 😆
Dona hautumii 🤣😂😁😁 chips auliMi Yangu sembe na maharage 😆
Huyo ni dada yangu Mkuu namjua Toka miaka ya 2010 nimekuwa nikimsoma humu jamiiforumsUsi muite Dr Lizzy, siku hizi hapendi wageni😆😃.
Ukienda kwake ana kuchemshia maji ya moto😆
Mu italy ume ansa mambo yako🤔, Depal huyo dogo ana anza makinja Kinja😆😂Huyo ni dada yangu Mkuu namjua Toka miaka ya 2010 nimekuwa nikimsoma humu jamiiforums