Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

pxl_20240421_102002054-jpg.2970800
Haya matunda niliyala zamani kule kwetu Moshi - Kilimanjaro, sikumbuki hata yanaitwaje.
 
Wiki ijayo ntajipikilisha zege halafu ntaweka hapa zege la kupika nyumbani....[emoji39][emoji39][emoji39]

Maana mara ya mwisho kula zege (nilinunua kwa Mangi) ilikuwa January wiki ya kwanza mwaka huu.
Ntakuja kupa bibi, [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom