Wajomba zake na Saint Anne
Haya matunda niliyala zamani kule kwetu Moshi - Kilimanjaro, sikumbuki hata yanaitwaje.
Portions eehh
Machozi yamenitoka, achana na Eet sum moor πππ
[emoji39][emoji39]
Ntakuja kupa bibi, [emoji39][emoji39][emoji39]Wiki ijayo ntajipikilisha zege halafu ntaweka hapa zege la kupika nyumbani....[emoji39][emoji39][emoji39]
Maana mara ya mwisho kula zege (nilinunua kwa Mangi) ilikuwa January wiki ya kwanza mwaka huu.
sawa bibieWakuu hapa ndio nyumbani, nimepotea njia kwenda kwenye nyuzi nyingine lakini One day nitarejea hapa. Siku nitakayoachwa niendelee kuwapikia madude dude flani hivi, masotojo na madikodiko. ππΎ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Oya chief mbona unanikosea adabu! Mimi ni mwanaume bana! π€¦πΎπ€¦πΎπ€¦πΎsawa bibie