Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kije tu, siogopi 🤣 mshamba_hachekwi
IMG_7718.jpeg
 
Mchanga

Kichefuchefu?? Serious? [emoji23][emoji23]
Unaweza size ndogo unamix zako na bamia/ nyanyachungu.

Dagaa nyasi ndio gani?
[emoji23][emoji23][emoji23] mie dagaa wa aina zote situmii, afu toka mdogo.

Yaan nikisikia harufu yake, napatwa na kichefu chefu.

Dagaa nyasi ni km hawa wa mchanga kwa kuwatazama, ila wenyewe wanakua walaini na hawana mchanga, japo wakavu.
 
Back
Top Bottom