Basi mama basiiiiNikishakata nikomae kama Wema sio🤣🤣 sitakiii
DuhHilo rojo ya viazi vilivyopondwa, wanachanganya mayai , Bagia, creaps za mihogo, mishkaki, kachori na salad , nadhani ushapata test inakuwaje 😅😋
Mi nililishwa wa Zanzibar, nikalishwa wa uhindini, hamna aliyetokea kumpenda mwenzie.🥴Hilo rojo ya viazi vilivyopondwa, wanachanganya mayai , Bagia, creaps za mihogo, mishkaki, kachori na salad , nadhani ushapata test inakuwaje 😅😋
😅😅😅Mi nililishwa wa Zanzibar, nikalishwa wa uhindini, hamna aliyetokea kumpenda mwenzie.🥴