Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hilo rojo ya viazi vilivyopondwa, wanachanganya mayai , Bagia, creaps za mihogo, mishkaki, kachori na salad , nadhani ushapata test inakuwaje 😅😋
Duh
Viazi- mashed vinalika
Kachori zinalika
Mayai, bagia, mishikaki,mihogo vyote vinalika vikiwa separate.. ila katika bakuli 1 sipati picha 😂😂😂😂
 
2110fa4e7a6df8f4a7ca365e8d9b6f11.jpg
 
Back
Top Bottom