Uzi wa vyakula tu

Pole, au unaumwa? me nakushauri ule ugali na samaki na ukiongeza mboga za majani itapendeza
Asante, ninavyojisikia samaki sitaweza, nejaribu ugali mbogamboga na nyama ya kukaanga nimeishia kutapika. Hata sijui nifanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…