Uzi wa vyakula tu

Nikioa nitanenepa
Aisee!! Alafu Hilo neno sio mara ya kulisikia kwani watu wembamba wana roho mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijamaaninsha kuwa wembamba wanaroho mbaya ila sasa kama unakula vyakula vya kukufanya unenepe lakini hunenepi tusemeje tena
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijamaaninsha kuwa wembamba wanaroho mbaya ila sasa kama unakula vyakula vya kukufanya unenepe lakini hunenepi tusemeje tena
Nafanya mazoez sana ndio màna sinenepi
 
Me nataka jifunza kutengeneza keki nani anifundishe ni Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…