Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, au una malaria umesha jaribu kupimaAsante, ninavyojisikia samaki sitaweza, nejaribu ugali mbogamboga na nyama ya kukaanga nimeishia kutapika. Hata sijui nifanyeje
Aisee!! Hiyo samaki hadi mate yamenitoka
Asante, sijapima. Hali ikiendelea nitapima keshoPole sana, au una malaria umesha jaribu kupima
Hapo kuna soseji,mayai kidogo na nyanyaTupe description ya huu msosi mkuu
Jitahidi kufanya hivo na kunywa mengiAsante, sijapima. Hali ikiendelea nitapima kesho
Unatafuta unene eeeh?Hapo kuna soseji,mayai kidogo na nyanya
[emoji3] [emoji3] Hapana mim slim hata ningekula hivo mwaka mzimaUnatafuta unene eeeh?
Mmmh! Kwanini hunenepi? Au una roho mbaya?[emoji3] [emoji3] Hapana mim slim hata ningekula hivo mwaka mzima
Nikioa nitanenepaMmmh! Kwanini hunenepi? Au una roho mbaya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijamaaninsha kuwa wembamba wanaroho mbaya ila sasa kama unakula vyakula vya kukufanya unenepe lakini hunenepi tusemeje tenaNikioa nitanenepa
Aisee!! Alafu Hilo neno sio mara ya kulisikia kwani watu wembamba wana roho mbaya
Nafanya mazoez sana ndio màna sinenepi[emoji23] [emoji23] [emoji23] sijamaaninsha kuwa wembamba wanaroho mbaya ila sasa kama unakula vyakula vya kukufanya unenepe lakini hunenepi tusemeje tena
Hapo sawaNafanya mazoez sana ndio màna sinenepi
Huyo ni perege au sato?
Hizi ndo chapati...zingine ni mifano tu ya chapati
Duh... Nimemiss dagaa na mlenda...