huyu ataweza kumaliza chote hicho
au kisa amechanga?
Muongooo!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbagala kitongojini Charambee...[emoji2957][emoji2957]
Ila Dar jamanii, mie hivi sikati hamu ya mua, nakunywaga juice yake kupooza kiu tyuuh. Lol
Vilinishinda hivyo na cornflakes π€¦πΎββοΈ
Vilinishinda hivyo na cornflakes π€¦πΎββοΈ
Cereal π€¦πΎββοΈ standard breakfast, sometimes unakula hadi zinakeraAhahahahaa mi naupenda huu uji siweki sukari, iko siku ntautumia kupika ugali.
Cornflakes sijawahi zipenda pia ila cereal nakula π.