Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Mbona maharage mabichi hujala
Aahahahaa ndugu yangu, hizi menu za take away unawekewa kila kitu kwenye boksi.
Ila kula ni hiari yako....ππππ
Nikajisemea haya mapishi khaaa...!!! Sasa waliona uvivu gani kumenya hizo harage au njegere....
Nakula salad na mambogamboga ila hiyo ilinishinda, sijui ndo ushamba....π π π .
Acha hiyo, kuna siku nikakuta nimewekewa prawns wabichi, wee bwana nikawachambua nikaenda jikoni kuwakaanga ndo nikala na mlo noliofungashiwa...π π π π .
Tumbo lina kazi sana aiseeh.