Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nimependa njegereβΊοΈ
Njoo tule basi ππ€£πNimependa njegereβΊοΈ
NakujaNjoo tule basi ππ€£π
Agagagagagaaaaaaaaaa...View attachment 3056391
Anaitwa bajie
Chachandu,sambal,vinnegrette,chachua.hivi huu mchanganyiko wa limao na pilipili hua unaitwaje
Hi watag wale jamaa wa Gaza ya buzaView attachment 3056391
Anaitwa bajie
Hapo unaonja au unakula
Minyoo inakusumbuaSijui minyooo....ππππ
Nimekula sahani moja nimemaliza, nikajizuia kuongeza nimekula ice cream bar moja....
Saa hii nasikia tumbo jepesiii kama sijala kitu tangu asubuhi....!!!π₯Ίπ₯Ί.