Aahahahhaa umenifikirisha....
Ntafanya jambo moja.... wacha nivute upako wa kupika. Tena ntaiunga na karanga, utapenda mwenyewe na ugali πππ.
Viazi vitamu ntapika tena vile vya rangi ya orange.
Na vile chakula kwangu ni kama mahaba, usihofu huwa sifanyi ajizi kwenye hayo maeneo mawili. Vitu vinhine vyote ntasubiria ila sio mahaba au chakula...π
π
.
Umenitia hamasa, ngoja nikusanye mahitaji halafu niingie jikoni na kaboka, kikiiva nakuita uje kula...ππππ.
Ila Mzab bwanaa...ππππ eeheheheheee.