Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Food is all about detailHapa umetisha mwanangu swahili AI
Mapicha yako huwaga yanaeleweka sana
Wee mbona huleti picha ukila nsansa ilipikwa na karanga plus viazi vitamu
Huyu wa kushoto anashiba vipi hayo matunda na majani sorry i choose kulia
Maharage mboga ya matunda π€£π€£π€£View attachment 3148427
Mzab, nimeanza na wali harage...πππ
Kuku paja-oven baked pembeni, was yummy.
Home made.
Hapa ndiyo penyewe, ukipiga hodi nakimbilia chumbani.,, naficha.
Huyu aliiba akatupia ndani ya box au