Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woow!! Mdojolela
Yanaonekana matamu.Cooked with love [emoji180][emoji177][emoji173][emoji178]
View attachment 3220426
Yameiva....[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 3220427
Yakaiva tena.....
Haya yalikaangwa kwenye mafuta, ladha mbili tofauti na kuoka kwenye oven [emoji7][emoji7].
Ni mahaba tuu, hakuna jingine.
Alamsiki [emoji112].
Nilikuwa nasubiri hapa😋😋😋😁Cooked with love 💘💕❤💖
View attachment 3220426
Yameiva....😋😋😋
View attachment 3220427
Yakaiva tena.....
Haya yalikaangwa kwenye mafuta, ladha mbili tofauti na kuoka kwenye oven 😍😍.
Ni mahaba tuu, hakuna jingine.
Alamsiki 👋.
Nilikuwa nasubiri hapa😋😋😋😁
Yanaonekana matamu.
Nitarudi Madaba kula huu ubwabwa
Huu mpunga mtamu sana, ukute umeiva we unagonga tu matonge kijiko tupa kule.
Unaweza kula mpaka ukauliza kwenu wapi?