Uzi wa vyakula tu



Cooked with love πŸ’˜πŸ’•β€



Ujasiri wa mwanamke ni kuingia jiko lisilo lako kuandaa chakula kwa watu ambao hujawazoea huku ukitegemea wake washibe hadi wasaze....

Jioo ulilolizoea huna was nalo maana hata namna ya kushika sufuria zake wajua....

Wapishi wanawake watanielewa....🀩.
 
Cooked with love πŸ’˜πŸ’•β€πŸ’–



Yameiva....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹



Yakaiva tena.....

Haya yalikaangwa kwenye mafuta, ladha mbili tofauti na kuoka kwenye oven 😍😍.

Ni mahaba tuu, hakuna jingine.

Alamsiki πŸ‘‹.
 
Nilikuwa nasubiri hapaπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜
 
Yanaonekana matamu.

Kwakweli sema ladha ya hiliki haikusikika kabisaa. Ntarejea tena jikoni nisemezane na ngano. Safari ijayo ntakanda na tui la nazi...πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…