πππ Angel NylonMsalimie wifi mpishi πππ.
Haha nimecheka Kasinde wewe eti Gauni πView attachment 3257393
Salad aka kachumberi
Mazaga kama ya jana ila.leo imekorombezwa na gauni/dressing ya sweetchilli.
Was yummy ππand on point.
πππ Angel Nylon
Haha nimecheka Kasinde wewe eti Gauni π
Looks yummy π
Hahaha Nimecheka sana!Zege kama zege, umelitendea haki.
Namimi napendaga la namna hiyo, lisikauke sana wala lisiwe teke.
Wacha waseme zege linamaliza nguvu za kitandani, ila kuliacha kulila ngumu sana aiseeh.
Huwa napenda siku nikiwa na hamu ya kitu, na muda wa kukiandaa na niwe na njaa; naingia jikoni napika, nakaa mezani nakulaaaa hadi mdomo uchoke kutafuna.
Kuna watao zoom hicho kisu kuona kama watapata taswira yeyote wamtambue binti kiziwi π .
Hahaha Nimecheka sana!
Kasinde matata.
Huku tunaita Curly FriesπView attachment 3257420
Coiled seasoned fries, cooked in the oven.
Was yummy balaa...ππππ.
sasa huyu ephen_ anasikitika nini?
nikajua hupendi mboga ningekubutua.Hapo mimi sishibi hata kidunchu.