Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_0057.jpeg
 
Hii mboga ni mchanganyiko wa nini na nini?

Ehehehehee mambo ni mengi...
Mdudu mwenyewe, Carrots, biringanya, green beans, mahindi machanga, nyanya, viazi, viungo vingine sikumbuki 😀.
Mekumbuka.....
Kauliflawa, chumvi, vitunguu maji, manjano mbichi, tangawizi mbichi na maji kidoogo 😜.
 
Back
Top Bottom