MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Katoroshwa, hata hakuniagaππ€¦ββοΈ
Dah ngoja arudi tukae kikao.Katoroshwa, hata hakuniagaππ€¦ββοΈ
Kujamba sasaView attachment 3259781
Supu ya maharage....!!
Humo ndani ina mambogamboga kibao, kikubwa tumbo lishibe.
Njaa haina adabu.
Chapati 2 na Pepsi
Kujamba sasa
Hii mboga ni mchanganyiko wa nini na nini?View attachment 3265324
Hili lilikuwa shata la mdudu...π.
View attachment 3265325
Lilasindikizwa na ugali wa viazi...πππ
Was on pint π.
View attachment 3265326
Sahani ilirembeka hivyooo.
Hii mboga ni mchanganyiko wa nini na nini?