Mikono meupe peeeeeπππππ
Hiyo ni garlic nan? Hapa bongo wapi nitapata afghan nan...that is the best nan in the world. Wale jamaa wa kabul fried chicken hawajafika bongo tuu?
Kha! Watu mnanuka hela tuu. Sasa chakula choye hicho ni cha mwanamke mmojaπ²π²π²π²
Khaa jamani si ni portion moja tu na si ghaliKha! Watu mnanuka hela tuu. Sasa chakula choye hicho ni cha mwanamke mmojaπ²π²π²π²
Wapi huko na mie nikale vyakula vya kizungu baadaya ya wali harageKhaa jamani si ni portion moja tu na si ghali
Ni affordable sana.
π π Asante πMikono meupe peeeeeπππππ
U welcome so wats for dinner today?π π Asante π
Leo mi mwenyewe nazurura huku hata sijui nyumbani kuna nini⦠Nitakukaribisha nikikikuta tayari.U welcome so wats for dinner today?
Mie natala upike wewe nione huo mkono jamaniLeo mi mwenyewe nazurura huku hata sijui nyumbani kuna nini⦠Nitakukaribisha nikikikuta tayari.
Haaaa! Haya, mi nitapika jumamosi.Mie natala upike wewe nione huo mkono jamani
Nasubiria hapaHaaaa! Haya, mi nitapika jumamosi.