Uzi wa vyakula tu

mnafu huoo..Tz apa
nilihisi! Maana nimezaliwa Tandika,DAR hiyo mihogo mitamu hivyo (hata kwa macho) ilikuwa Soko la Temeke Hospital au Sterio nadhani ilikuwa inatoka Lindi/Kilwa , mmmmmmh huo mnafu nadhani siujui umenitamanisha, nikifika Tz ndio itakuwa chakula cha kwanza kutafuta, natamani ningejua wapi nikifika nawaonyesha picha hata waseme subiri masaa 2
 
[emoji3][emoji3]karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…