nilihisi! Maana nimezaliwa Tandika,DAR hiyo mihogo mitamu hivyo (hata kwa macho) ilikuwa Soko la Temeke Hospital au Sterio nadhani ilikuwa inatoka Lindi/Kilwa , mmmmmmh huo mnafu nadhani siujui umenitamanisha, nikifika Tz ndio itakuwa chakula cha kwanza kutafuta, natamani ningejua wapi nikifika nawaonyesha picha hata waseme subiri masaa 2mnafu huoo..Tz apa