Uzi wa vyakula tu

Unapenda mixer mixer... ee wali na ndizi hapo hapo
Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.
 
[emoji3][emoji3]kilichokushangaza ni nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…