Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Haya nayaonaga tu sokon ..ngoja nianze kuyatumia kwa kujua umuhimu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nayaonaga tu sokon ..ngoja nianze kuyatumia kwa kujua umuhimu wake
Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.Unapenda mixer mixer... ee wali na ndizi hapo hapo
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]🤔🤔🤔[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Wali kambale.. View attachment 881747
Bwana weeeeee[emoji14][emoji41]View attachment 880574
Foundation [emoji39][emoji39][emoji39]Chips Yai + Ngisi + Maziwa = [emoji39][emoji1305]View attachment 881817
Ndio maana leo kumetulia kumbe hamna hela [emoji1][emoji1][emoji1]Tunaomba hela
Hizo rangi zinaenda kufanya kazi gani tumboniKupunguza joto View attachment 882389
😁😁😁😁Hizo rangi zinaenda kufanya kazi gani tumboni
[emoji3][emoji3]kilichokushangaza ni nn?Kweli kabisa napenda lakini sio mroho, sasa hapo ni nyumbani hebu niambie wapi mjini nikienda navikuta hivi au naomba mafunzo ili Juma2 niingie jikoni nijaribu halafu hiyo picha yako imenishangaza kidogo lakini wacha tuendelee na msaada wa mafunzo au wapi.