Hizi unapika zikiwa zimeiva?Ndizi mzuzu nazi +samaki
KaribuniView attachment 882383
Ndio mamy, unazimenya na kukatakata then sufuria jikoni unaweka mafuta kiduchu, unakaanga vitunguu, karoti, hoho kwa pamoja. Unakaanga kidogo alafu unaweka ndizi, unageuza geuza kidogo, unaweka chumvi kidogo alafu unaweka tui la nazi. Unaacha zinachemka mpaka ziive, zikishaiva unaweka tui la kwanza lile na samaki yako alafu unapindua pindua kwa dk 7hadi 10 then unaipua tayari kwa kula. Ukipenda unaweza tia hiriki pia.Hizi unapika zikiwa zimeiva?
Thanks maa ntajaribu..hizi nazipendaga zikikaangwa,kumbe ata kupika inawezekanaNdio mamy, unazimenya na kukatakata then sufuria jikoni unaweka mafuta kiduchu, unakaanga vitunguu, karoti, hoho kwa pamoja. Unakaanga kidogo alafu unaweka ndizi, unageuza geuza kidogo, unaweka chumvi kidogo alafu unaweka tui la nazi. Unaacha zinachemka mpaka ziive, zikishaiva unaweka tui la kwanza lile na samaki yako alafu unapindua pindua kwa dk 7hadi 10 then unaipua tayari kwa kula. Ukipenda unaweza tia hiriki pia.
Thanks maa ntajaribu..hizi nazipendaga zikikaangwa,kumbe ata kupika inawezekana
Muhindi[emoji7] [emoji7]Kupunguza joto View attachment 882389
Mzee baba unatisha sana humu..[emoji109]Mchana mwema!! Watu Wa Mungu View attachment 884382
Hahaha!! Mambo ya kujenga mwili kamanda hayoMzee baba unatisha sana humu..[emoji109]
Wife nini au mkono wako??Hahaha!! Mambo ya kujenga mwili kamanda hayo
Wife nini au mkono wako??
Broccoli ni mboga nzur sana,ila kuila kma hvyo siwezi.
We unaitengenezaje?au unailajeBroccoli ni mboga nzur sana,ila kuila kma hvyo siwezi.
Wife amtoe wap?Wife nini au mkono wako??
Mkuu unamjua nini??..au ni nini umeangalia ndo ukasema hanaWife amtoe wap?
Wife amtoe wap?
Mazoea tu kamandaMkuu unamjua nini??..au ni nini umeangalia ndo ukasema hana