Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hizi unapika zikiwa zimeiva?
Ndio mamy, unazimenya na kukatakata then sufuria jikoni unaweka mafuta kiduchu, unakaanga vitunguu, karoti, hoho kwa pamoja. Unakaanga kidogo alafu unaweka ndizi, unageuza geuza kidogo, unaweka chumvi kidogo alafu unaweka tui la nazi. Unaacha zinachemka mpaka ziive, zikishaiva unaweka tui la kwanza lile na samaki yako alafu unapindua pindua kwa dk 7hadi 10 then unaipua tayari kwa kula. Ukipenda unaweza tia hiriki pia.
 
Thanks maa ntajaribu..hizi nazipendaga zikikaangwa,kumbe ata kupika inawezekana
 
Huu uzi wachangiaji wengi ni wanaume,wakina dada wachache,hii ina maana kwamba wanaume tunapenda kula vitu vizuri, mwanamke ukimpikia mumeo chakula kitamu basi tutabaki njia kuu period
 
Mchana mwema!! Watu Wa Mungu
20181002_134155.jpeg
 
Back
Top Bottom