Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kula samaki au kuku wa kienyeji au Bata.halafu matunda kwa wingi Na green kwa sana.utakuwa Na afya sana.Nina miaka mitano sijawai kuumwa hata homa
Ahsanteee mtoto mzuri kwa ushauri.
Najitahidigi sana kufata kanuni za afya ila kwenye nyama nashindwa kuacha.

Ila sili nyama nyingi ni vifinyango vichache tu kutoa hamu.

Ila ngoja nianze kuachana na nyama nyekundu au niwe nakula kwa uchache wake.

Lov u Ms.N
 
Vifinyango vichache? Wakati hapo nimeona robo kilo Na zaidi tena usiku huu unalala ,plus robo ya mchana then Fanya Mara mwezi Na mwaka.uzeeni utapata tabu sana Na kitandani
 
Viepeee
IMG_20181009_155449_7.jpeg
 
Back
Top Bottom