Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nakula kama mbuzi mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nsamehe bure mwaya
Ndio maana nimeona dinner yako ya kijanja
Aisee wanawake kazi mnayo..Kuloose weigh au kumaintain some weight
Marahabaa mtoto mzuri [emoji1] [emoji1] [emoji1]Shikamoo mwanaume wa dar.red meat sio nzuri bna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa viumbe wana mambo.Aisee wanawake kazi mnayo..
Kula samaki au kuku wa kienyeji au Bata.halafu matunda kwa wingi Na green kwa sana.utakuwa Na afya sana.Nina miaka mitano sijawai kuumwa hata homaMarahabaa mtoto mzuri [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ngoja nianze kuiacha
Mnataka tufumuke tu jamani?Aisee wanawake kazi mnayo..
Kidogo tu..sio ile unafumuka hadi unakuwa shapelessMnataka tufumuke tu jamani?
Ndo hivoKidogo tu..sio ile unafumuka hadi unakuwa shapeless
Ahsanteee mtoto mzuri kwa ushauri.Kula samaki au kuku wa kienyeji au Bata.halafu matunda kwa wingi Na green kwa sana.utakuwa Na afya sana.Nina miaka mitano sijawai kuumwa hata homa
Vifinyango vichache? Wakati hapo nimeona robo kilo Na zaidi tena usiku huu unalala ,plus robo ya mchana then Fanya Mara mwezi Na mwaka.uzeeni utapata tabu sana Na kitandaniAhsanteee mtoto mzuri kwa ushauri.
Najitahidigi sana kufata kanuni za afya ila kwenye nyama nashindwa kuacha.
Ila sili nyama nyingi ni vifinyango vichache tu kutoa hamu.
Ila ngoja nianze kuachana na nyama nyekundu au niwe nakula kwa uchache wake.
Lov u Ms.N
Embe+maziwaJuice ya nini hiyo?
Hiyo mimi ilinishindaga kabisa. Mchawi ni mazoezi tuNakula kama mbuzi mwenzio
Rushia huko Na karanga au almondEmbe+maziwa
Mazoezi yanatesa sana pia mda sinaHiyo mimi ilinishindaga kabisa. Mchawi ni mazoezi tu
Mazoezi yanatesa sana pia mda sina
Bila shaka huyu ni mdudu
Uko vizuri.Rushia huko Na karanga au almond
Daah ngumuuuTafuta japo nusu saa tu fanya nyumban kwako situps, prank na squat yaani utafurahi
Mdudu hana mfupa mgumu hivo bnaBila shaka huyu ni mdudu