Uzi wa vyakula tu

Nilichogundua nyinyi wanawake mnapenda sana zawadi na pia mnapenda sana vyakula.
Kwaio kukaa kwangu nikaanza kutamani sana kujua kupika,leo hata kma ntakua na mshkaji wangu wa kike na nikaweza kumpikia vizur basi sijui kwanin hunikubali tu bila kushusha voko.
 
Hahahhahaha ur right kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…