Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Yule hujarekebisha unipe mambo mapya.
Sio mapya ya kawaidaa
IMG_20181004_203350_3_1539525643805.jpeg
 
Nilichogundua nyinyi wanawake mnapenda sana zawadi na pia mnapenda sana vyakula.
Kwaio kukaa kwangu nikaanza kutamani sana kujua kupika,leo hata kma ntakua na mshkaji wangu wa kike na nikaweza kumpikia vizur basi sijui kwanin hunikubali tu bila kushusha voko.
 
Hahahhahaha ur right kabisaaa
 
Back
Top Bottom