Uzi wa vyakula tu

Lunch ya leo nile nini ,imenibidi nipite humu niangalie kitu kitakachonitoa udenda ndiyo niagize
 
Katika pita pita nikakutana na hii chai ya moto ikaniunguza. Ya kweli hayo? Jamaa niliona one time alipiguwa sana promo na masanja mkandamizaji
Ni ya kweli naona
unamuamini sana masanja eti eeh??
akipiga promo mjini lazima kapewa kitu wewe, ungekuwa unasoma KIU ungejua vizuri
 
Huu ugali bado nauwaza mpaka saiv. Sema mlenda mimi noooo sili kabisaa.

Hapo ugali uwe wa motooo na dagaa zimekolea pilipili unakula huku unatoa majasho [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nitaula leo usiku
Lol..dagaa bila mlenda mimi nehii

Usisahau kuleta mrejesho Maa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…