Favoured one
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 142
- 78
Mkuu harufu,vyakula unavyoonyesha daaaa!!!Chura imeshatayarishwa kwa ajili ya Machomaji, karibuni sana Wadau.
Kiongozi.M
Mkuu harufu,vyakula unavyoonyesha daaaa!!!
Kiongozi.Hii ni Kali,siwezi kula hii
Huo ugali,mtamu Ila usipokula mbogamboga za kutosha utapata tabu wakati Wa haja kubwa,
Hatarious[emoji115] [emoji115] [emoji115] Leo niko na mchemsho wa samaki[emoji8] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
Fish finger..ovacado sauce with chips
PRIVATE CHEF