Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

.
IMG-20181022-WA0116.jpeg
 
OK sawa Je ni kosa? Angalia msingi wa mada unasemaje na maudhui yake
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula..

========

Sijaona sehemu imeandikwa hata kama umescreenshot au umedownload mtandaoni au instagram
 
Back
Top Bottom