Dah mrembo msosi wote huo unamaliza peke yako? Au upo na mr
Leo nimeangukia hpaView attachment 909079
Mpka hichi umekitamani?Asante kwa kunitamanisha
[emoji2][emoji2] ngoja ajeKuna watu wanasema hii ni ya kudownload.. View attachment 910304
Jirani[emoji5][emoji4]Dona+muhogo na mix ya kabeji+dagaaView attachment 909674
Naam jiranJirani[emoji5][emoji4]
Za asubuhi..Naam jiran
Njema jiran, hope uko poa eehZa asubuhi..
Nakusabahi.
Mungu mwema..! Niko poaNjema jiran, hope uko poa eeh
Mzee mbona hii inaonekana wazi kabisa sio ya kudownloadKuna watu wanasema hii ni ya kudownload.. View attachment 910304
Hajasoma boarding huyoo..sisi siku moja shule nzima tulisusa kula dona mchana hamna mtu alieenda dining hall..mwenye shule ikabidi akawape nguruwe wakeungesoma boarding ukalishwa lile dona la boarding usingetaka hata kusikia jina dona.
Kwanini manka?Yaani wewe umefanya nirudi niuangalie mara ya pili🤣🤣🤣
Nshafika mzee[emoji41][emoji2][emoji2] ngoja aje
Haya mandazi mbona kama vile ya kwa shemeji[emoji33]Good morning!View attachment 911172
Ujakosea kamanda,Haya mandazi mbona kama vile ya kwa shemeji[emoji33]
Majibu yako nayaeoewaga Sana boss......Ujakosea kamanda,
NayaelewagaMajibu yako nayaeoewaga Sana boss......