Uzi wa vyakula tu

Aisee wanaume wa dar,sasa hapo unashiba kabisa kweli mzee?
Mkuu hakuna mtu aliyewahi shindana na chakula kisha akashinda.

U're food intake should be relevant with several factors ie age,gender,kind of work etc.

Sisi wa Dar hatuna mashamba ya kwenda kulima wala sio makuli masokoni.
Nyie lazima mle ugali kilo 2 asubuhi kwa kuwa mna mashamba ya kulima na kazi za kubeba magunia magulioni.
 
[emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji382] [emoji382]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…