Uzi wa vyakula tu

Mi bado napambana kulipika ila sijafanikiwa. Napenda biriani kuliko ninavyopenda wali samaki. Siku nikilipatia sijui itakuwaje.
Hapo naendaga kula ijumaa kwa Sele bonge
Napenda sana kupika biriani thats why. But nipo far away, Ningekufunika kwa biriani la maana na kulitupia humu.
 
Mi bado napambana kulipika ila sijafanikiwa. Napenda biriani kuliko ninavyopenda wali samaki. Siku nikilipatia sijui itakuwaje.
Hapo naendaga kula ijumaa kwa Sele bonge
Siku nikirudi home nitakualika
 
Inshallah. I can't wait. Biriani nikialikwa hata Kigamboni nalifuata. Hahahahaa
Ahahaa kuna Mpemba siku hyo bna akapita ofsini eti anapika biriani.nilivoona ni Mpemba nikajua itakuwa bonge la biriani.yaani nilijiandaaje.sio kila Mpemba ni mpishi wa biriani aisee mi hata uniitie Dubai biriani siendi tena
 
Biriani mbezi??? Sijawahi sikia hilo. Biriani najuaga kwa Sele na wengine wanasemaga kwa Shilole na Esha pia wanajitahidi. Hilo la mbezi anapika lini?
Sijui kama lina ratiba ila anapika hatare hataree.tatizo anapumuliwa sijui Na huu msako kama amesalimika.humjui mtu anajiita mvuto wewe?
 
Ahahaa kuna Mpemba siku hyo bna akapita ofsini eti anapika biriani.nilivoona ni Mpemba nikajua itakuwa bonge la biriani.yaani nilijiandaaje.sio kila Mpemba ni mpishi wa biriani aisee mi hata uniitie Dubai biriani siendi tena
Sio kila mpemba anapika biriani.

Kupika biriani nayo ni kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…