Mi bado napambana kulipika ila sijafanikiwa. Napenda biriani kuliko ninavyopenda wali samaki. Siku nikilipatia sijui itakuwaje.
Hapo naendaga kula ijumaa kwa Sele bonge
Mimi nimefanikiwa ila nachemka kwenye mtindi ,kila nikiweka mtindi kwenye mchuzi unakua kama unakatika.
Kweli mwenzangu.hata wachanga wanapikaSio kila mpemba anapika biriani.
Kupika biriani nayo ni kipaji.
Huo mtindi unktikaje lbda?Mimi nimefanikiwa ila nachemka kwenye mtindi ,kila nikiweka mtindi kwenye mchuzi unakua kama unakatika.
Na mimi pia. Nikiweka mtindi unakatika. Sijajua mbadala wa mtindi kwa kweli. ningekua sioni uvivu ningepika na leo
Niliambiwa papai sikutaka hata kujua wanatumiaje maana vya kuweka papai kwenye mboga siviwezi.
Huo mtindi unktikaje lbda?
Na unaweka mtindi wakat gani?
Niliambiwa papai sikutaka hata kujua wanatumiaje maana vya kuweka papai kwenye mboga siviwezi.
Huo mtindi unktikaje lbda?
Na unaweka mtindi wakat gani?
Papai itakua wanalisaga.. ila kama papai hata kiazi si kinaweza kufaa pia?? Umenitia hamasa ya kujaribu tena kupika.
Kingine unaweka maziwa gani? Maana niliambiwa plain yoghurt nikatafuta nikakosa nikaweka hizi yoghurt za dar fresh.. ila nimeona plain yoghurt Village Supermarket nitanunua nipike na ile nione kama yatakatika tena
Mim nilivyojifunza mtindi unaweka pale mchuzi wako wakti ushachemkia kidogo na spices halaf unadd mtindi uchimkie pia.Wakati unaweka viungo vyote na nyanya na nyama jikoni..
Ha ha ha jaribu mimi huwa napika hivyo hivyo kwa kukosea....wengine naona wanaeka mayai looh mapishi haya.
Hilo nguna liwe la dona.....!Wapenzi wa ugali mlenda na dagaa tujuane [emoji14] View attachment 899769
Mayai si wanaweka kwenye mchuzi lile roast? Wengine naonaga wanayakata katikati hayo mayai
Ndiyo siwezi yaani hata nikienda sehemu nikikuta wameweka mayai huwa nayatoa sijui naonaje.
Biriani ya mayai ni tam sana kuna jamaa alipika nilikula hadi nikajisahau.Sijawahi kutana nayo nahisi ningeyatoa pia
Sasa huko sio kukatika my dear.Unajua tui la nazi likimwa limekatika?ndo hivyo yaani unaona kama vidude vyeupe vyeupe.
Nishapika mchuzi kabisa mtindi unakua wa mwisho.
.Kukaya vino chavitanga vimanda....! Usekuuza umwile....View attachment 920930