dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Hii ni diet maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni diet maana
Mdudu on fleak..
Hii uswazi tunaita wali ndondo[emoji486]View attachment 925193
Sisi tunaita pizza [emoji23]Hii uswazi tunaita wali ndondo
Ooho!!Sisi tunaita pizza [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ooho!!
Aisee,hilo arage ukimpiga nalo mwanangu wa miaka 2 lazma aumie[emoji486]View attachment 925193
Mzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala? [emoji23][emoji23]Aisee,hilo arage ukimpiga nalo mwanangu wa miaka 2 lazma aumie
Jamaa always yupo negative..Mzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala? [emoji23][emoji23]
Kawaida watu kama hao hawakosekanagi sehemu yoyote lazima upate virus kama hizo.Jamaa always yupo negative..
Yaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisaMzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala? [emoji23][emoji23]
Jamaa always yupo negative..
Tulieni nyinyi mimi ni food cop[emoji41] a.k.a table leader,lazma nihakikishe usalama wa misosi ndio maana natoa maelezo ili next time msirudie kula vitu vya ajab.Kawaida watu kama hao hawakosekanagi sehemu yoyote lazima upate virus kama hizo.
Hahaha [emoji23][emoji23]Yaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisa
Unashiba kwa picha? Aisee una maisha mazuri sanaYaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisa
Aisee umeamsha minyoo yangu...Week ndio hiyo inakwisha taratibuView attachment 926015
Pole kamanda!Aisee umeamsha minyoo yangu...
Bibi wewe usichukulie kila kitu serious ndo maana wanagawa namba yako humu ndani[emoji57] [emoji57]Unashiba kwa picha? Aisee una maisha mazuri sana