Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji125]
IMG-20180923-WA0003.jpg
 
Haaahaaa .....jomoni unajistukia asee[emoji23] [emoji23]

Am serious huwa nakuona hapa kwenye huu uzi nifundishe na mimi basi[emoji12] [emoji12]

kama sijisikii kula nikipita humu najikuta nikiona kitu najikuta napata hamu nacho so napika nile.

Halafu huwa unaniona sababu unautembelea huu uzi kimya kimya ehee?

Unataka nikufundishe chakula gani?[emoji2]
 
Mimi tambi mixer na nyama ya kusaga jamani imenishinda kupika!
 
Kuandika maelezo sasa!!

Twin hebu niache!! Ungekua serious ningekutumia voice note ya maelezo whatsap

mimi hii nakula nikipika mwenyewe kwa mtu siwezi kuna sehemu nilikuta wameweka chumvi na sukari nilihisi tapika.
Ishhhhh.....chumvi na sukari???[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kutapika muhimu asee!
 
Back
Top Bottom