Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #4,921
Tuwekeeni hata picha tule kwa macho, minyoo ifurahi tumboniNipo sehemu ambayo sidhani hata watu wake kama wanajua leo ni sikukuu ya nini,zaidi ya kuona watoto wao hawajaenda shule...so siwezi hata kukukaribisha
We leo wapi??