Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

6C005822-CDB3-4EED-B40F-045D5EAEF5ED.jpeg
 
hahahaha mi ndio maana naagizaga mzima kabisa maana najua nusu hafiki hata mwisho wa ulimi

Nusu kupunjana tu aisee!

Halafu nusu yao wala si nusu ya ukweli!

Ni nusu feki.

Nusu ya ukweli lazima iwe na nusu firigisi, nusu ini, na kadhalika.
 
Back
Top Bottom