Uzi wa vyakula tu

Bibie kama vile tupo boarding?
Halafu next time ukitaka kula ugali na maharage basi hayo maharage uweke kwenye kibakuli pembeni,vinginevyo ukila hivyo ule mwenyewe maana utakula kiuchafu sana na ukimaliza sahani na mikono itakuwa haitamaniki.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We nae bhana usitake kutuchanganya bwana we nyumbani kwako kila sehemu ni ya kulia chakula? Kuna ubaya gani kuwa na location moja ya kulia chakula
Je wajua kwamba hapo ni chini sakafuni na sio mezani?
Je wajua athari atakazopata endapo atamwaga hayo maziwa kwenye hilo kapeti la manyonya au kumwaga chakula hapo chini?
Think twice bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…