Uzi wa vyakula tu

basi chakula nachokula ni outdated maana nikibadilisha ni bokboko tu
Uzi wa vyakula tu - JamiiForums
kama hiki chakula hapa hata sijui ni chakula gani naona minyororo tu..

malcom chizi yule endelea kumsikiliza
Hahaha basi uwe unachungulia humu utapata recipies nyingi na nzuri ukaanda msosi mtamu kuna wadada wanajua kupika sana.

Pia kuna wengine wanatoaga ofa za lunch kama Mambembe unaweza kuokota dodo [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…