Uzi wa vyakula tu

Biryani chakula cha Kihindi.

Ukitaka biryani halisi nenda Uhindini huko. Siyo lipikwalo na Waswahili.

Watu huwa tunakula aunthetic Hyderabad biryani wewe unaniletea mambo ya Sele Bonge.

FOH.
Nani hali sasa hiyo uliyosema we msukuma😂😂😂.nazungumzia ukiwa hapo bongo biriyani utapata kwa sele au ilala huko acha ubishoo wa kimaganga
 
Nani hali sasa hiyo uliyosema we msukuma😂😂😂.nazungumzia ukiwa hapo bongo biriyani utapata kwa sele au ilala huko acha ubishoo wa kimaganga

Ukiwa Bongo biryani linapatikana sehemu nyingi tu. Siyo kwa Sele peke yake au sijui huko Ilala.

Sisi wa hapa hapa [tulozaliwa Dar] sehemu za kulia biryani twazijua.

Mfano hapo Mamboz SizGrill, mtaa wa Maweni Upanga.

Mgahawa wa Wahindi [ ambako biryani ndo inatokea] huo.

Hapo unapata chicken biryani, mutton biryani, beef biryani, vegetable biryani, na kadhalika.

Ushawahi kwenda kula hapo wewe???

 
No sifikagi huko sina hela mkuu wa box😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…