Unaenda kuhesabiwa?Korogwe mojaView attachment 970613
Hahah umejuaje mkuu?Unaenda kuhesabiwa?
Niko upande wa pili huku best, nilivuka maji last friday[emoji23][emoji23][emoji23]pole kesho naenda mjini kushangaa madaraja tutaonana?
Dinner sijui nimepatiaView attachment 970558
Mambo ya farkhina haya.....!!
Haha! Vipo karibu kiwangwa
Jamani leo mumefunga? Au kuna mgomo baridi?
Duuh haya majina ya kibantu ni shidaKwetu Zenji kuna sehemu inaitwa Kiwengwa beach nzuri sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aah tafadhari jirani,
Mbona bado sanaaaa
Nasikia foleni ya magari ya Wachage imezuia Wapare kuvuka barabara[emoji23][emoji23][emoji23]msizidishe kipimo
@farkhina una maliza hicho chakula..???
@farkhina una maliza hicho chakula..???
Sana aiseee...!!Namaliza eeeh [emoji23],kwani kingi?[emoji849]
Sana aiseee...!!
Watoto wa darajani,mkanyageni na chakechake huwa hamli sana.
Au we n m'bara mwenzangu