[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezitoa kwa kuruka kamba. Hicho nimekipika baada ya kusahau nazi yangu sokoni halafu nikaona uvivu kurudi kuifuata ikabidi nipike mchemsho badala ya wali na samaki wa nazi kama nilivyokua nataka mwenyeweAfter December calories [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezitoa kwa kuruka kamba. Hicho nimekipika baada ya kusahau nazi yangu sokoni halafu nikaona uvivu kurudi kuifuata ikabidi nipike mchemsho badala ya wali na samaki wa nazi kama nilivyokua nataka mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi samaki na dagaa ndio my fav foodMwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa
Mwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa
Mwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa
Mkwe farkhina hiyo ndio my favorite food tho inanitoa kitambi[emoji1]
Daah hayo maharage umeyapika vizuri sana, kuna wengine wanapenda yaliyopondeka
Mkwe farkhina hiyo ndio my favorite food tho inanitoa kitambi[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walah mambo yangu haya[emoji5]
Daah hayo maharage umeyapika vizuri sana, kuna wengine wanapenda kudanganywa yaliyopondeka
Sent using Jamii Forums mobile app