Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

After December calories [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimezitoa kwa kuruka kamba. Hicho nimekipika baada ya kusahau nazi yangu sokoni halafu nikaona uvivu kurudi kuifuata ikabidi nipike mchemsho badala ya wali na samaki wa nazi kama nilivyokua nataka mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chungu cha3
IMG%202019_01_03.jpeg

Mwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa
 
Mwenzio sijui nimepatwa na nini yaani
Nikiona samaki nasikia kichefuchefu hatari
Hapa nimekula wali mkavu na veggies tu
Samaki kanishinda kabisa

Mueke tangawizi Na saumu twanga Na pilipili na chumvi,alafu weka pilipili manga Na uzile.

Alafu uje useme samaki humpendi[emoji849].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom